Mistari ya Biblia kuhusu Rebekah: Displeased with Esau's wives
Mistari kuhusu Displeased with Esau's wives
Esau alipokuwa na umri wa miaka arobaini, akamwoa Yudithi binti Beeri Mhiti, kisha akamwoa Basemathi binti Eloni Mhiti.
Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.