Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Raisin: Given by Ziba to David

1 mstari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Given by Ziba to David

  1. Daudi alipokuwa amekwenda umbali mfupi kupita kilele cha mlima, akamkuta huko Siba, msimamizi wa shughuli za Mefiboshethi, akingojea kumlaki Daudi. Alikuwa na punda wawili wakiwa wametandikwa na kupakiwa mikate mia mbili, maandazi mia ya zabibu kavu, maandazi mia ya tini na kiriba cha divai.