Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Prosperity: Promised to the righteous

5 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Promised to the righteous

  1. Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,

  2. kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni,

  3. ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, naye atakuwa fedha yako iliyo bora.

  4. Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, nawe utamwinulia Mungu uso wako.

  5. Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako.