Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prosperity: Forgetfulness of God in

2 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Forgetfulness of God in

  1. Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu.

  2. Lakini baada ya Uzia kuwa na nguvu sana, majivuno yake yakamsababishia kuanguka. Alikosa uaminifu kwa Bwana Mungu wake, naye akaingia hekaluni mwa Bwana ili afukize uvumba kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba.