Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Peace: Necessary to the enjoyment of life

4 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Necessary to the enjoyment of life

  1. Yeyote kati yenu anayependa uzima na kutamani kuziona siku nyingi njema,

  2. Aache uovu, atende mema, aitafute amani na kuifuatilia.

  3. Kwa maana, “Yeyote apendaye uzima na kuona siku njema, basi auzuie ulimi wake usinene mabaya, na midomo yake isiseme hila.

  4. Mtu huyo lazima aache uovu, akatende mema; lazima aitafute amani na kuifuatilia sana.