Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Peace Offerings: Laid it upon the daily burnt offering to be consumed with it

3 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Laid it upon the daily burnt offering to be consumed with it

  1. Kisha wana wa Aroni wataiteketeza juu ya madhabahu, juu ya ile sadaka ya kuteketezwa iliyoko juu ya kuni zinazowaka, kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto, harufu nzuri ya kumpendeza Bwana.

  2. Moto ulio juu ya madhabahu lazima uwe unaendelea kuwaka, kamwe usizimike. Kila asubuhi kuhani ataongeza kuni na kupanga sadaka ya kuteketezwa juu ya moto, na kuteketeza mafuta ya sadaka za amani juu yake.

  3. Moto lazima uendelee kuwaka juu ya madhabahu mfululizo, kamwe usizimike.