Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Peace Offerings: By Manasseh on repairing and restoring the altar

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu By Manasseh on repairing and restoring the altar

  1. Akaondolea mbali miungu ya kigeni na kuondoa sanamu kutoka Hekalu la Bwana pamoja na madhabahu zote alizozijenga katika kile kilima kilichojengwa Hekalu na katika Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.

  2. Kisha akarudisha madhabahu ya Bwana na kutolea juu yake dhabihu za sadaka za amani pamoja na sadaka za shukrani, naye akawaamuru Yuda wamtumikie Bwana, Mungu wa Israeli.