Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Palm Tree: In the temple seen in the vision of Ezekiel

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu In the temple seen in the vision of Ezekiel

  1. Kulikuwa na vidirisha kwenye hivyo vyumba vya walinzi na nguzo za hivyo vyumba zilikuwa kwenye mzunguko wa hilo lango, vivyo hivyo kulikuwa na madirisha yaliyozunguka kuelekeana na ua na juu ya kila nguzo kulikuwa na mapambo ya miti ya mitende.

  2. kulinakshiwa makerubi na miti ya mitende. Miti ya mitende ilikuwa kati ya kerubi na kerubi. Kila kerubi alikuwa na nyuso mbili: