Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Mizzah

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.

  2. Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa Reueli huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Basemathi mkewe Esau.

  3. Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza.