Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mill: Upper and nether stones of

3 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Upper and nether stones of

  1. Usitoe jozi ya mawe ya kusagia, hata ikiwa lile la juu, kuweka rehani kwa ajili ya deni, kwa sababu itakuwa ni kuweka uhai wa mtu kama dhamana.

  2. Kifua chake ni kigumu kama mwamba, kigumu kama jiwe la chini la kusagia.

  3. Chukua mawe ya kusagia, usage unga, vua shela yako. Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, vuka vijito kwa shida.