Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Love to Christ: Joseph of Arimathaea

4 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Joseph of Arimathaea

  1. Ilipofika jioni, alifika mtu mmoja tajiri kutoka Arimathaya aitwaye Yosefu, ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.

  2. Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe.

  3. Yosefu akauchukua mwili wa Yesu, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi,

  4. na kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake.