Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Kenites: 1. A Canaanitish tribe whose country was given to Abraham

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu 1. A Canaanitish tribe whose country was given to Abraham

  1. Kisha akawaona Wakeni, akatoa ujumbe wake: “Makao yenu ni salama, kiota chenu kiko kwenye mwamba.

  2. Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”

  3. Ndipo akatoa ujumbe wake: “Lo, ni nani atakayeweza kuishi wakati Mungu atakapofanya hili?