Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Judges of Israel: Samuel as judge

3 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Samuel as judge

  1. Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake.

  2. Mwaka hadi mwaka aliendelea kuzunguka kutoka Betheli mpaka Gilgali na Mispa, akiamua Israeli katika sehemu hizo zote.

  3. Lakini kila mara alirudi Rama, kulikokuwa nyumbani kwake, huko pia aliwaamua Israeli. Naye huko alimjengea Bwana madhabahu.