Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jephthah: Illegitimate, and therefore not entitled to inherit his father's property

2 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Illegitimate, and therefore not entitled to inherit his father's property

  1. Basi Yefta Mgileadi alikuwa mtu shujaa. Baba yake alikuwa Gileadi, naye mama yake alikuwa kahaba.

  2. Mke wa Gileadi akamzalia wana wengine, nao watoto hao walipokua, wakamfukuza Yefta na kumwambia, “Wewe huwezi kupata urithi katika jamii yetu, kwa sababu wewe ni mwana wa mwanamke mwingine.”