Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Hatach: A chamberlain in the court of Ahasuerus.

4 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu A chamberlain in the court of Ahasuerus.

  1. Ndipo Esta akamwita Hathaki, mmojawapo wa matowashi wa mfalme ambaye alikuwa amewekwa kumhudumia Esta, akamwagiza kutafuta ni nini kilikuwa kikimtaabisha Mordekai na ni kwa nini.

  2. Basi Hathaki alitoka nje kumwendea Mordekai kwenye uwanja ulio wazi wa mji mbele ya lango la mfalme.

  3. Hathaki akarudi kwa Esta na kumwarifu alilolisema Mordekai.

  4. Kisha Esta akamwamuru Hathaki amweleze Mordekai,