Mistari ya Biblia kuhusu Fatherless: Punish those who oppress
Mistari kuhusu Punish those who oppress
Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, kwa wale watoao amri za kuonea,
kuwanyima maskini haki zao na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, kuwafanya wajane mawindo yao na kuwanyangʼanya yatima.
Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? Mtamkimbilia nani awape msaada? Mtaacha wapi mali zenu?