Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Enemy: The wickedness of David's enemy

7 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu The wickedness of David's enemy

  1. kwa maana watu waovu na wadanganyifu wamefungua vinywa vyao dhidi yangu; wasema dhidi yangu kwa ndimi za udanganyifu.

  2. Wamenizunguka kwa maneno ya chuki, wananishambulia bila sababu.

  3. Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea.

  4. Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.

  5. Wimbo wa kwenda juu. Wamenionea mno tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa:

  6. wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda.

  7. Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu.