Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Elimelech: With Naomi, his wife, and two sons, emigrate to Moab.

4 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu With Naomi, his wife, and two sons, emigrate to Moab.

  1. Mtu huyu aliitwa Elimeleki, mkewe aliitwa Naomi, na hao wanawe wawili waliitwa Maloni na Kilioni. Walikuwa Waefrathi kutoka Bethlehemu ya Yuda. Wakaenda katika nchi ya Moabu, wakaishi huko.

  2. Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili.

  3. Basi Naomi alikuwa na jamaa wa upande wa mume wake, kutoka ukoo wa Elimeleki, mtu maarufu ambaye aliitwa Boazi.

  4. Ruthu, Mmoabu, akamwambia Naomi, “Nitakwenda mashambani nikaokote mabaki ya nafaka nyuma ya yule nitakayepata kibali machoni pake.” Naomi akamwambia, “Nenda, binti yangu.”