Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Eagle

4 mistari · 9 vipengele

Tafuta "Eagle"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Je, tai hupaa juu kwa amri yako na kujenga kiota chake mahali pa juu?

  2. Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake.

  3. Kutoka huko hutafuta chakula chake; macho yake hukiona kutoka mbali.

  4. Makinda yake hujilisha damu, na pale palipo na machinjo, ndipo yeye alipo.”