Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Communion With God: Should always enjoy

3 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Should always enjoy

  1. Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.

  2. Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu.

  3. Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.