Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Chastity: Drunkenness destructive to

3 mistari · 21 vipengele

Tafuta "Chastity"

Mistari kuhusu Drunkenness destructive to

  1. Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, wakati unapometameta kwenye bilauri, wakati ushukapo taratibu!

  2. Mwishowe huuma kama nyoka na kutia sumu yake kama nyoka mwenye sumu.

  3. Macho yako yataona mambo mageni na moyo wako kuwazia mambo yaliyopotoka.