Mistari ya Biblia kuhusu Census: Of the Roman empire, by Caesar 3 mistari · 2 vipengele Tafuta "Census" Yote 8 A poll tax to be levied at each 5 Of the Roman empire, by Caesar 3 Mistari kuhusu Of the Roman empire, by Caesar Luka 2:1Siku zile Kaisari Augusto alitoa amri kwamba watu wote waandikishwe katika ulimwengu wa Kirumi.Luka 2:2(Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyofanyika wakati Krenio alikuwa mtawala wa Shamu).Luka 2:3Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.