Mistari ya Biblia kuhusu Benedictions: Levitical, forms of
Mistari kuhusu Levitical, forms of
“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
“ ‘ “Bwana akubariki na kukulinda;
Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;
Bwana akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’