Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Baptism With the Holy Spirit: Necessity for

5 mistari · 9 vipengele

Mistari kuhusu Necessity for

  1. akawauliza, “Je, mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini?” Wakajibu, “Hapana, hata hatukusikia kuwa kuna Roho Mtakatifu.”

  2. Ndipo Paulo akawauliza, “Je, mlibatizwa kwa ubatizo gani?” Wakajibu, “Kwa ubatizo wa Yohana.”

  3. Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohana ulikuwa wa toba, aliwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja baada yake, yaani, Yesu.”

  4. Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.

  5. Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri.