Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Backsliding: Is departing form the simplicity of the gospel

3 mistari · 25 vipengele

Mistari kuhusu Is departing form the simplicity of the gospel

  1. Ninyi Wagalatia wajinga! Ni nani aliyewaroga? Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele yenu kwamba amesulubiwa.

  2. Nataka nijifunze neno moja kutoka kwenu: Je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kushika sheria, au kwa kuyaamini yale mliyosikia?

  3. Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili?