Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Armies: Composed of insurgents

2 mistari · 77 vipengele

Mistari kuhusu Composed of insurgents

  1. Daudi akaondoka Gathi na kukimbilia kwenye pango la Adulamu. Ndugu zake na watu wa nyumba ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.

  2. Wale wote waliokuwa katika dhiki au waliokuwa na madeni au wale ambao hawakuridhika wakamkusanyikia Daudi, naye akawa kiongozi wao. Watu wapatao 400 walikuwa pamoja naye.