Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Andrew: Finds Peter, his brother, and brings him to Jesus

3 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu Finds Peter, his brother, and brings him to Jesus

  1. Andrea nduguye Simoni Petro, alikuwa mmoja wa wale wawili waliosikia yale Yohana aliyokuwa amesema, naye ndiye alimfuata Yesu.

  2. Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, “Tumemwona Masiya” (yaani, Kristo).

  3. Naye akamleta kwa Yesu. Yesu akamwangalia na kusema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa” (ambalo limetafsiriwa Petro).