Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ancient Samaria: Repeopled from Assyria

2 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Repeopled from Assyria

  1. Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.

  2. Wakati walianza kuishi humo, hawakumwabudu Bwana, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu.