Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Amusements and Worldly Pleasures: Denounced by God

2 mistari · 16 vipengele

Mistari kuhusu Denounced by God

  1. Ole wao wale waamkao asubuhi na mapema wakikimbilia kunywa vileo, wale wakawiao sana mpaka usiku, mpaka wamewaka kwa mvinyo.

  2. Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, matari, filimbi na mvinyo, lakini hawayajali matendo ya Bwana, wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake.