Rukia maudhui

Daughter of Herodias

2 mistari · 1 mwanafamilia

Tafuta "Daughter of Herodias"

Mistari inayomtaja Daughter of Herodias

  1. Katika siku ya kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa Herode, binti wa Herodia alicheza mbele ya watu waliohudhuria, akamfurahisha sana Herode,

  2. Binti yake Herodia alipoingia na kucheza, akamfurahisha Herode pamoja na wageni wake walioalikwa chakulani. Mfalme Herode akamwambia yule binti, “Niombe kitu chochote utakacho, nami nitakupa.”