Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Allegory: Messiah's kingdom represented under, of the wolf and the lamb dwelling together

3 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Messiah's kingdom represented under, of the wolf and the lamb dwelling together

  1. Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, naye chui atalala pamoja na mbuzi, ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, naye mtoto mdogo atawaongoza.

  2. Ngʼombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja, na simba atakula majani makavu kama maksai.

  3. Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, naye mtoto mdogo ataweka mkono wake kwenye kiota cha fira.