Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abiram: 1. An Israelite who conspired with Dathan against Moses and Aaron

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 1. An Israelite who conspired with Dathan against Moses and Aaron

  1. nao wana wa Eliabu walikuwa Nemueli, Dathani na Abiramu. Hawa wawili Dathani na Abiramu ndio walikuwa maafisa wa jumuiya ambao walimwasi Mose na Aroni, na walikuwa miongoni mwa wafuasi wa Kora wakati walimwasi Bwana.

  2. Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.

  3. wala lile Mungu alilowafanyia Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu wa kabila la Reubeni, wakati ardhi ilipofungua kinywa chake katikati ya Israeli yote, ikawameza pamoja na walio nyumbani mwao, hema zao na kila kitu kilichokuwa hai ambacho kilikuwa mali yao.

  4. Ardhi ilifunguka ikawameza Dathani, ikawazika Abiramu na kundi lake.