Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abiram: 2. Son of Hiel

1 mstari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 2. Son of Hiel

  1. Katika wakati wa Ahabu, Hieli, Mbetheli, akaijenga upya Yeriko. Aliweka misingi yake kwa gharama ya mzaliwa wake wa kwanza Abiramu, na kuweka malango yake kwa gharama ya mwanawe mdogo Segubu, kulingana na neno la Bwana alilosema kupitia Yoshua mwana wa Nuni.