Mistari ya Biblia kuhusu Abib: Tabernacle set up in
Mistari kuhusu Tabernacle set up in
“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza.
Kwa hiyo Maskani ya Mungu ilisimikwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, katika mwaka wa pili.