Tappuah
32.1100, 35.2300 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Tappuah
mfalme wa Tapua mmoja mfalme wa Heferi mmoja
Kutoka Tapua mpaka ulikwenda magharibi hadi Bonde la Kana na kuishia baharini. Huu ulikuwa ndio urithi wa kabila la Waefraimu, ukoo kwa ukoo.
(Nchi ya Tapua ilikuwa mali ya Manase, lakini Tapua yenyewe iliyo mpakani mwa nchi ya Manase ilikuwa ya Waefraimu.)