Skip to content

Succoth

4 verses

30.6200, 32.2500 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Succoth

  1. Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.

  2. Baada ya Waisraeli kuondoka Sukothi wakapiga kambi huko Ethamu pembeni mwa jangwa.

  3. Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.

  4. Wakaondoka Sukothi na kupiga kambi huko Ethamu, pembeni mwa jangwa.