Miletus
Anajulikana pia kama: Miletum
37.5000, 27.3000 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Miletus
Kutoka huko tuliendelea kwa njia ya bahari, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.
Paulo akiwa Mileto, alituma mjumbe kwenda Efeso kuwaita wazee wa kanisa waje wakutane naye.
Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.