Rukia maudhui

Erastus

3 mistari

Mistari inayomtaja Erastus

  1. Hivyo akatuma wasaidizi wake wawili, Timotheo na Erasto, waende Makedonia, wakati yeye mwenyewe alibaki kwa muda kidogo huko Asia.

  2. Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [

  3. Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.