Skip to content

Luz

6 verses

31.9300, 35.2200 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Luz

  1. Mahali pale akapaita Betheli, ingawa mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.

  2. Yakobo na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika Luzu (ndio Betheli), katika nchi ya Kanaani.

  3. Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki,

  4. Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi,

  5. Kutoka hapo ulikatiza kwenye mteremko wa kusini mwa Luzu (yaani Betheli) na kushuka hadi Ataroth-Adari katika kilima kusini mwa Beth-Horoni ya Chini.

  6. Walipotuma watu kwenda kupeleleza Betheli (ambao hapo kwanza uliitwa Luzu),