Rukia maudhui
Zaburi 117:1-2

Wito wa Kumsifu Mungu Ulimwenguni

Zaburi 117:1-2
1
Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2
Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options