Rukia maudhui
Mika 1:8-9

Maombolezo ya Mika na Kuenea kwa Hukumu

Mika 1:8-9
8
Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza; nitatembea bila viatu na tena uchi. Nitabweka kama mbweha na kuomboleza kama bundi.
9
Kwa sababu jeraha lake halitibiki; limekuja Yuda. Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, hata Yerusalemu kwenyewe.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options