Rukia maudhui
Yoshua 13:32-33

Muhtasari wa Urithi wa Ng’ambo ya Yordani

Yoshua 13:32-33
32
Huu ndio urithi alioupeana Mose wakati alipokuwa katika tambarare za Moabu, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko.
33
Lakini kwa kabila la Walawi, Mose hakuwapa urithi; Bwana Mungu, Mungu wa Israeli ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options