Rukia maudhui
Kumbukumbu 10:6-7

Safari na Kifo cha Haruni

Kumbukumbu 10:6-7
6
(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Yaakani hadi Mosera. Huko Aroni alifariki na kuzikwa, naye Eleazari mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.
7
Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea mpaka Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options