Rukia maudhui
2 Timotheo 2:1-2

Kuimarishwa kwa Neema kwa Ajili ya Huduma

2 Timotheo 2:1-2
1
Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu.
2
Nayo mambo yale uliyonisikia nikiyasema mbele ya mashahidi wengi, uwakabidhi watu waaminifu watakaoweza kuwafundisha watu wengine vilevile.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Options