Rukia maudhui
1 Wakorintho 11:1-2

Mwigeni Paulo Kama Anavyomwiga Kristo

1 Wakorintho 11:1-2
1
Igeni mfano wangu, kama ninavyouiga mfano wa Kristo.
2
Ninawasifu kwa kuwa mnanikumbuka katika kila jambo na kwa kushika mafundisho niliyowapa.
Settings

Reading Style

Typeface

Font Size 19px

Reading Width 45 chars

Options