Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zion: Called The City of God

3 mistari · 9 vipengele

Tafuta "Zion"

Mistari kuhusu Called The City of God

  1. Bwana anayapenda malango ya Sayuni kuliko makao yote ya Yakobo.

  2. Mambo matukufu yanasemwa juu yako, ee mji wa Mungu:

  3. Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako, wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako, nao watakuita Mji wa Bwana, Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli.