Mistari ya Biblia kuhusu Zabdi: 3. David's storekeeper
Mistari kuhusu 3. David's storekeeper
Shimei Mramathi alikuwa msimamizi wa mashamba ya mizabibu. Zabdi Mshifmi alikuwa msimamizi wa zabibu, utengenezaji na uhifadhi wa divai katika mapipa makubwa.