Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Zabad

7 mistari · 4 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Atai akamzaa Nathani, Nathani akamzaa Zabadi,

  2. Zabadi akamzaa Eflali, Eflali akamzaa Obedi,

  3. Tahathi akamzaa Zabadi, na Zabadi akamzaa Shuthela. Ezeri na Eleadi waliuawa na wenyeji wa Gathi walipokuwa wamekwenda huko kuwanyangʼanya mifugo yao.

  4. Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai,

  5. Kutoka wazao wa Zatu: Elioenai, Eliashibu, Matania, Yeremothi, Zabadi na Aziza.

  6. Kutoka wazao wa Hashumu: Matenai, Matata, Zabadi, Elifeleti, Yeremai, Manase na Shimei.

  7. Kutoka wazao wa Nebo: Yeieli, Matithia, Zabadi, Zebina, Yadai, Yoeli na Benaya.