Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Worship: Public, in the temple

3 mistari · 14 vipengele

Mistari kuhusu Public, in the temple

  1. “Hili ndilo Bwana asemalo: Simama katika ua wa nyumba ya Bwana na useme na watu wote wa miji ya Yuda wanaokuja kuabudu katika nyumba ya Bwana. Waambie kila kitu nitakachokuamuru, usipunguze neno.

  2. “Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru.

  3. Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Amen.