Mistari ya Biblia kuhusu Words: Fool will swallow himself
Mistari kuhusu Fool will swallow himself
Maneno yatokayo kinywani mwa mtu mwenye hekima yana neema, bali mpumbavu huangamizwa na midomo yake mwenyewe.
Mwanzoni maneno yake ni upumbavu, mwishoni ni wazimu mbaya,
naye mpumbavu huzidisha maneno. Hakuna yeyote ajuaye linalokuja, ni nani awezaye kueleza ni jambo gani litakalotokea baada yake?